Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza nyongezo wa msaada wa kibinadamu na wa kiafya wa moja kwa moja wa ziada wa dola milioni 267 kusaidia kupambana na mlipuko wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Habari njema kwa wazalishaji na wauzaji wa Kongo. RDC inaendelea kustahiki AGOA, Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika, kufuatia kuongeza muda wa mpango huu wa biashara wa Marekani hadi Desemba 2028.
Amri ya mkoa inayoweka ada za shule kwa mwaka wa 2026-2027 huko Kongo-Central tayari imetokeza maswali kati ya jamii ya kiraia ya hapo.
/sites/default/files/2026-09/25926-bon-journal_swahili_vendredi_soir_.mp3







