Articles de la catégorie « Journal swahili »

16/07/2026 - 15:40
Journal Swahili Soir, 16 Juillet 2026.  
/
16/07/2026 - 07:59
Janga la Ebola yapanuka haraka tena sana mtaani Djugu huko tayari maeneo ki afya ya Heritage mkowani Djugu yaguswa na hasa vyumba vya matibabu kufunga milango zao.
/
15/07/2026 - 15:39
Janga la Ebola laendelea haraka tena sana mtaani Djugu huko tayari maeneo ki afya ya Heritage mkowani Djugu yaguswa na hasa vyumba vya matibabu kufunga milango zao.
/
15/07/2026 - 07:48
Waganga kunako kituo cha afya ya huko Rwampara mji Bunia wakazia mgomo wao wa kazi. Ikiwa ni wao watumika kunako kituo cha kutibuwa Ebola, wadai malipo ya mshahara wao.
/
14/07/2026 - 07:58
Wagonjwa wa Ebola arubaini na mbili wali rikodiwa, miongoni mwao wengine ishirini na ine kupoteza maisha kwa mda wa masaa arubaini na nane.
/
13/07/2026 - 10:47
Hapa Kinshasa Mgomo wa madaktari katika hospitali za serikali umeendelea na wahanga ni wagonjwa kwa sasa ambao hawapewi tena huduma za afya. 
/
10/07/2026 - 09:58
Kinshasa: Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu alaani mapigano yanayoendelea Kivu Kusini.
/
09/07/2026 - 10:36
Butembo jimboni Kivu Kaskazini: Kituo cha kutenga wagonjwa wanaozaniwa kuwa na Ebola katika Hospitali Kuu ya Kitatumba kimeshambuliwa.
/
08/07/2026 - 10:24
Kwilu: Madaktari wa hospitali za serkali wameanza mgomo. Kananga: Kulifanyika siku ya pili hii siku kuu ya wahanga wa vita vya Kamuina Nsapu.
/
08/07/2026 - 10:19
Jimboni Kivu Kaskazini, wanainchi wanakimbia maeneo ya kusini mwa mtaa wa Lubero Kutakana na kujipanga huko kwa wapiganaji wa AFC / M23.
/