Journal Swahili Matin, 16 Juillet 2026.

Janga la Ebola yapanuka haraka tena sana mtaani Djugu huko tayari maeneo ki afya ya Heritage mkowani Djugu yaguswa na hasa vyumba vya matibabu kufunga milango zao.

Uwepo wa jeshi la taifa yapigwa marufuku kunako maeneo ya uchimbaji madini kote inchini. Shirika lisilo la serkali Justicia yapongeza maamzi haya.

Na nini kuelewa kuusu kikao maalum ya kutafakari maswala ya umeme na maji jimboni Kivu ya kaskazini, kikao kilicho endeshwa mjini Butembo. Kaa nasi kwa maelezo zaidi.

/sites/default/files/2026-07/160726-journal-swahili-matin.mp3