Katika mkoa wa Kivu Kusini, wanafunzi zaidi ya 20 wamefariki dunia katika moto ulioteketeza shule mbili.
Articles de la catégorie « swahili »
10/09/2026 - 05:52
Bado mji mkuu Kinshasa, msongamano wa magari unaongezeka kutokana na baadhi ya madereva kutoheshimia kanuni ama sheria za barabara.
09/09/2026 - 19:59
Bado mji mkuu Kinshasa, msongamano wa magari unaongezeka kutokana na baadhi ya madereva kutoheshimia kanuni ama sheria za barabara.
09/09/2026 - 05:41
Kinshasa : Watu wanaodai kuwa maafisa wa usafiri wanawasimamisha waendesha pikipiki na magari barabarani. Vitendo hivyo vinazua wasiwasi kuhusu usalama wa madereva na abiria.
08/09/2026 - 18:30
Kinshasa : Watu wanaodai kuwa maafisa wa usafiri wanawasimamisha waendesha pikipiki na magari barabarani. Vitendo hivyo vinazua wasiwasi kuhusu usalama wa madereva na abiria.
08/09/2026 - 08:12
Wakazi wa Kinshasa wanakabiliwa tena na msongamano za magari barabarani katika maeneo mbalimbali ya mji mkuu wa jamuhuri ya kidemocratia ya congo.
08/09/2026 - 08:09
Wakazi wa Kinshasa wanakabiliwa tena na msongamano za magari barabarani katika maeneo mbalimbali ya mji mkuu wa jamuhuri ya kidemocratia ya congo.
04/09/2026 - 15:21
Viongozi wa asili wa jimboni Kasai wameahidi kuacha desturi zinazodunisha heshima ya wanawake.
04/09/2026 - 07:15
Kihisha kuhojiwa na mahakama mda kitambo, mtumiaji wa TikTok, Denise Dusauchoy, amewekwa chini ya hati ya kifungo jela kwa muda mjini Kinshasa...
03/09/2026 - 15:14