Journal Swahili, 4 septembre

Kihisha kuhojiwa na mahakama mda kitambo, mtumiaji wa TikTok, Denise Dusauchoy, amewekwa chini ya hati ya kifungo jela kwa muda mjini Kinshasa...

Jimboni Kivu kaskazini, watu tisa waripotiwa kufariki dunia na wengine takriban 40 wako katika hali mahututi baada ya kutumia vyakula vinavyoshukiwa kuwemo sumu kijijini Visiki, mtaani Beni

Wanafunzi takriban 1,550 kutoka shule nne za serikali wafahidika na msaada wa vifaa vya shule toka Fondation Nyembo, mjini Matadi.

/sites/default/files/2026-09/0409026-journal-swahili-vendredi-matin-00.mp3