Kinshasa : Watu wanaodai kuwa maafisa wa usafiri wanawasimamisha waendesha pikipiki na magari barabarani. Vitendo hivyo vinazua wasiwasi kuhusu usalama wa madereva na abiria.
Ituri : Gavana wa Ituri amefanya ziara yake ya kwanza katika eneo la Mambasa. Wananchi wanaweka matumaini katika ahadi zake wakati eneo hilo likikabiliwa na mashambulizi ya ADF.
Kivu-Kaskazine : Dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kusoma na Kuandika. Alpha Ujuvi inawahimiza watu wazima wasiojua kusoma na kuandika kujiunga na vituo vya kujifunzia.
/sites/default/files/2026-09/090926-p-s-_journal_sw_matin-00_0.mp3






