Articles de la catégorie « swahili »

13/08/2026 - 07:08
Mtaani Mambasa, jimboni Ituri, ma elfu ya wahami waishi bila msaada waliko kimbilia. Hayo ikiwa ni kinyume ya mashambulizi ya mara kwa mara ya waasi wa ADF.
/
12/08/2026 - 15:02
Mtaani Mambasa, jimboni Ituri, ma elfu ya wahami waishi bila msaada waliko kimbilia. Hayo ikiwa ni kinyume ya mashambulizi ya mara kwa mara ya waasi wa ADF.
/
12/08/2026 - 08:50
Mjini Lubumbashi, watu 22 wamefariki katika ajali ya barabarani eneo la kuelekea Likasi.
/
12/08/2026 - 08:48
Mjini Lubumbashi, watu 22 wamefariki katika ajali ya barabarani eneo la kuelekea Likasi.
/
11/08/2026 - 08:12
Meli iliyo zuiliwa karibu na mji mkuu Kinshasa kwa sababu ya shaka ya kuwepo kwa wagonjwa wa Ebola imeachiliwa baada ya vipimo kutokuonyesha kesi yoyote ya ugonjwa huo.
/
11/08/2026 - 08:10
Meli iliyo zuiliwa karibu na mji mkuu Kinshasa kwa sababu ya shaka ya kuwepo kwa wagonjwa wa Ebola imeachiliwa baada ya vipimo kutokuonyesha kesi yoyote ya ugonjwa huo.
/
10/08/2026 - 09:42
     Edition de Lundi le 10 Aout 2026 Matin 05 Heures 
/
10/08/2026 - 07:12
Mtaani Lubero, Kivu Kaskazini,  familia zaidi ya Elfu sita (6,000 ) za watu waliozihama makaji zao zafahidika na vifaa muhimu vya nyumbani toka shirika la Msalaba Mwekundu Croix rouge, kwa udhamini
/
08/08/2026 - 11:29
Beni, wafungwa wa vita 15 wa kundi la waasi wa M23 waachiliwa huru na serkali ya Kinshasa na kurejeshwa makwao na shirika lakimataifa lamsalaba mwekundi CICR…
/
07/08/2026 - 07:24
Zaidi ya watoto kumi wamepoteza maisha walipozama Mtoni Lulua, mtaani Demba, jimboni Kasai ya Kati. Ilikuwa wakati mtumbwi waliokuwemo uli pinduka.
/