Articles de la catégorie « Swahili »

13/06/2019 - 17:36
Bunia:hali ya vuta ni kuvute pa mji kati ya Bunia katika jimbo la Ituri.watu mbili wameuawa Kisangani hali ya mvutano pya mjini Kisangani katika jimbo la Tshopo
/
12/06/2019 - 17:50
Bunia :watu makumi matatu na munane waliuawa kijijini Tché katika mtaa wa Djugu humo jimbo la Ituri
/
11/06/2019 - 17:30
Lumbubashi:maandamano ya wamemba ya chama Udps mjini Lubumbashi katika jimbo la Haut Katanga
/
10/06/2019 - 18:17
Kinshasa:hali ya mvutano kunako baraza la bunge ya taifaa  mashabiki ya UDPS waliandamana mbele ya ofisi ya kituo icho mjini Kinshasa
/
07/06/2019 - 17:25
Kinshasa:Ripoti ya Cogep ajili ya kiwanda cha madini Gecamines Lubumbashi:wafanya kazi makumi mawili na munane wa TFM wamefukuzwa kazini sababu ya mazaifu ya muili
/
06/06/2019 - 17:34
Kinshasa:mwanzo ya mitiani ya serkali ya muisho ya shule la msingi inchini jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo
/
05/06/2019 - 17:44
Kinshasa:profesa AndréMbata  ana jibu kwa masemi ya wafanya siasa ajili ya amri kusailiwa na raisi wa jamuhuri ya Kongo 
/
04/06/2019 - 18:15
Beni:watu kumi na wawili waliuawa na manyumba kuporiwa na wa edf katika kartaa Butanuka mjini Beni humo jimbo la nord Kivu
/
03/06/2019 - 17:33
Kinshasa:benki ya kimataifaa ina tosha dola milioni mia tano nambili kwa kupunguza hatari kuletwa na afya na malisho mbovu inchini ya kidemocracia ya Kongo
/
31/05/2019 - 18:05
Kinshasa:Mahiti ya Etienne Tshisekedi imeacha nyumba ya wafu hospitalini Cinquantenaire  imefikishwa kunako kiwanja cha kandanda Martyrs des pentecotes mjini Kinshasa.
/