Huko jimbo la Lualaba, Idadi ya vifo vya ajali ya Lubudi yaongezeka hadi 17, mazishi ya waathiriwa yanatarajiwa kufanyika katika saa zijazo.
KASKAZINI MWA KIVU: Viongozi wa kimila wa Beni wanalaani kuendelea kwa ukosefu wa usalama na kuitaka serikali kuimarisha ulinzi wa raia.
ITURI: Vituo vya afya vya sekta kibinafsi Nia-Nia vinapunguza huduma kutokana na Ebola, huku waongozi wanohusika namapambano hupinga hatua hiyo.
/sites/default/files/2026-07/280726-p-s-journal_complet_matin-00.mp3




