Articles de la catégorie « swahili »

14/07/2026 - 07:58
Wagonjwa wa Ebola arubaini na mbili wali rikodiwa, miongoni mwao wengine ishirini na ine kupoteza maisha kwa mda wa masaa arubaini na nane.
/
13/07/2026 - 10:47
Hapa Kinshasa Mgomo wa madaktari katika hospitali za serikali umeendelea na wahanga ni wagonjwa kwa sasa ambao hawapewi tena huduma za afya. 
/
10/07/2026 - 09:58
Kinshasa: Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu alaani mapigano yanayoendelea Kivu Kusini.
/
09/07/2026 - 10:36
Butembo jimboni Kivu Kaskazini: Kituo cha kutenga wagonjwa wanaozaniwa kuwa na Ebola katika Hospitali Kuu ya Kitatumba kimeshambuliwa.
/
08/07/2026 - 10:24
Kwilu: Madaktari wa hospitali za serkali wameanza mgomo. Kananga: Kulifanyika siku ya pili hii siku kuu ya wahanga wa vita vya Kamuina Nsapu.
/
08/07/2026 - 10:19
Jimboni Kivu Kaskazini, wanainchi wanakimbia maeneo ya kusini mwa mtaa wa Lubero Kutakana na kujipanga huko kwa wapiganaji wa AFC / M23.
/
08/07/2026 - 10:08
Usafiri wa wateja kati ya mji wa Bunia, Mungwalu na Aru umeweza kusimamishwa kwa zaidi ya wiki moja ili kuweza kupiganisha ugonjwa wa Ebola.
/
03/07/2026 - 17:47
Rais wa RDC, Félix Tshisekedi, na mwenzake wa Afrika ya Kusini, Cyril Ramaphosa, wamehimiza mshikamano wa Waafrika na kuheshimu haki za raia wa kigeni. 
/
03/07/2026 - 09:32
Vuguvugu la waasi la AFC/M23, hali pashwi chukua tena kama kundi la wenye kujihami silaha pekee, yadokeza ripoti mpya ya Wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu DRC.
/
03/07/2026 - 09:24
Jamhuri ya kidemocratia ya Congo yachukua wadhifa wa urais wa baraza la usalama la umoja wa matafia, tokea iyi jumatano, julai 1.
/