Journal Matin

Journal Swahili Matin, 17 Juillet 2026.

 

Zaidi ya watoto wagonjwa elfu mbili waathirika wa suruma wali ripotiwa mtaani Punia. Tayari kampeni ya chanjo ya kupiganisha ugonjwa huo yapangiliwa.

Wakati huo hali siyo shwari pa Marabo, ikiwa mafyaturiano yaliripotiwa hii jumatano kati ya jeshi la taifa na wanamgambo wa kikundi kishikacho silaha cha FPIC, kisha kuuwawa kwa kiongozi wao.

Na madereva wanao tumiya Barabara ya serkali nambari moja kutokea Congo Central hadi Kinshasa walaani manyanyaso wanao pitiya hasahasa chungu nzima ya vizuivi na kodi zisizo na hesabu.

/sites/default/files/2026-07/170726-journal-swahili-matin-00.mp3