Hapa Kinshasa Mgomo wa madaktari katika hospitali za serikali umeendelea na wahanga ni wagonjwa kwa sasa ambao hawapewi tena huduma za afya.
Wakati huo, Mashariki mwa DRC,ni AFC/M23 ndio imeendelea kuimarisha nafasi zake Kivu Kusini na Kaskazini bila kuheshimu Makubaliano ya Doha na Washington, huku hofu ya mapigano mapya ikiongezeka kwa raiya.
Na huko Mambasa ni Watu 20, wakiwemo wanawake, watoto na wanajamii wa Mbuti, ndio wameachiwa huru na waasi wa ADF baada ya Siku nyingi za Mateka.
/sites/default/files/2026-07/13072026_-_jp_sw_-_matin_-_00.mp3







