Sikukuu ya GENOCOST; mjini Kinshasa, Serikali imeahidi kuendeleza kumbukumbu ya wahanga wa Mauwaji inchini (Genocost) na kuhakikisha haki inatendeka, husema Rais wa jamuhuri Félix Tshisekedi.
Ituri ni Mlipuko wa Ebola ndio unaendelea huko Tchomia, huku vifo vingi vikiripotiwa na wagonjwa kufika hospitalini wakiwa wamechelewa na kuzidiwa.
Eneo la Kwilu ni Viongozi wa asili wa Grand Bandundu ndio wamehimizwa kuunga mkono mradi wa maendeleo ya Mlimo na viwanda pa Buzala.
/sites/default/files/2026-08/04082026-j0urnal_swahili_de_ce_mardi_matin_par_j-baraka_ok.mp3






