Jimboni Ituri, uhaba wa maji maeneo kadhaa mtaani Mambasa ni kikwazo sasa kwa juhudi za kukabiliana na kuenea kwa Ebola. mashirika za kiraia za omba suluhisho la haraka lipatikane...
Mkoani Haut-Lomami, Hali ya utulivu imerejea, iyi Jumatano katika mji mkuu wa mtaa wa Bukama, Ni kihisha machafuko makali yaliyoukumba mji huo juma nne kutokana na kuingiliwa huko kwa wanamgambo wenye kujihami silaa
Jimboni kasai, Walimu kazaa wadokeza hasira kubwa. Hawa, tokeakuhamishwa kwao toka Benki ya Finca kwenda Benki ya Advance walahumu uchelevi wa malipo ya mishahara yao myezi kazaa
/sites/default/files/2026-07/30072026_-_journal-sw-matin-complet.mp3




