Articles de la catégorie « Swahili »

08/10/2019 - 19:23
Bukavu:FelixTshisekedi amefunguwa maabara ya kilimo pale IITA Kalambo ambayo  wamepanga jina la Obasanjo huko jimbo la Sud Kivu
/
07/10/2019 - 17:25
Bunia:wanamgambo wa Codeconje ya msitu humo jimbo la Ituri Matadi:shule buila mwalimu katika mashule za mji wa Boma jimboni Kongo Central
/
04/10/2019 - 17:23
Kinshasa:Uharibifu wa mvua katika mji wa Kinshasa, vifo vitatu vimeripotiwa. Beni:Msaada wa watoto yatima  kwa mauaji huko mtaa wa Beni  katika jimbo la Nord Kivu
/
03/10/2019 - 17:24
Kinshasa:kikao cha waandishi wa habari na bi Leila Zerougui Bukavu:kutokuwa na usalama huko Shabunda, ofisi ya usika na ukarabati wa barabara imesimamisha shuguli zake 
/
02/10/2019 - 17:31
Kinshasa :Waziri mkuu wazamani Bruno Tshibala ana shutumiwa utumiaji mbovu wa pesa za serikali na mwendesha mashataka mkuu wa korti ya uvunjo
/
01/10/2019 - 17:22
Kinshasa :mgomo wa mashule zimoja zimoja za mji wa Kinshasa Kinshasa:mradi wa kisasa wa shule ya serikali jimboni Kinshasa
/
30/09/2019 - 17:24
Kinshasa:Wanabunge wanalaani badjeti ya kwaida  Kinshasa:Ashado inapinga mgawanyiko wa nafasi za majukumu katika makampuni kwa pesa 
/
27/09/2019 - 17:32
Kinshasa:Sainiya makubaliano kati ya OSSEP dhidi ya ufisadi Kinshasa:Kiongozi wa baraza la bunge la taifaa anawasilisha vikosi karibu na badjeti
/
26/09/2019 - 18:13
Kinshasa: Felix Tshisekedi huko mji  wa New York Kinshasa:Hotuba ya Felix Tshisekedi kunako umoja wa mataifaa
/
25/09/2019 - 17:33
Kinshasa:Naibu waziri mkuu Gilbert Kankonde ameuwasilishwa mbele ya vikosi vya polisi na kamissa mkuu gemedari DieudonnéHamuli mjini Kinshasa
/