Journal Swahili Matin, 02 Juillet 2026.

Jamhuri ya kidemocratia ya Congo yachukua wadhifa wa urais wa baraza la usalama la umoja wa matafia, tokea iyi jumatano, julai 1. Huku, Serkali ya Kinshasa yatilia pawa mbele, mijadala ya kimataifa kuhusu amani, usalama, na ushirikiano wa pande nyingi...

Mamilioni ya kazi yataundwa kwa vijana ifikapo mwaka wa 2032. Rais wa JD Congo ali zindua, iyi juma nne, mpango mpya uitwao "Debout Jeunes Congolais", (Amkeni vijana wacongomani). Mpango huu utakao garimu dolla bilioni 1.3 za marekani, wahusu ajira na ujasiriamali wa vijana.

Watu kazaa waishio na ulemavu wakabiliwa na janga la Ebola jimboni Ituri. Shirika la kuwatetea, RPDI latoa wito kwa timu za wanao husika na kugombanisha janga lile, kushughulikia vyema mahitaji ya watu hawa.

/sites/default/files/2026-07/0207026-journal-sw-matin-jeudi-complet.mp3