Usafiri wa wateja kati ya mji wa Bunia, Mungwalu na Aru umeweza kusimamishwa kwa zaidi ya wiki moja ili kuweza kupiganisha ugonjwa wa Ebola.
Air Congo itaweza kuanza tena kazi zake za usafiri barani Ulaya, baada ya miaka ishirini na tano kati ya mji Brussels na Kinshasa.
Na Huko Kananga, Kanisa la Katoliki limeweza kutaka amani na umoja kufuatana na masemi na msimamo wa CENCO kuhusu Katiba ya inchi.
/sites/default/files/2026-07/0607026-journal_sw_du_lundi_matin_-_00.mp3





