Journal Soir

Journal Soir du 17 juillet 

Timu ya pamoja ya kufuatilia kumaliza vita kati ya Serikali ya DRC na AFC/M23 sasa imekamilika, ikiwemo wakilishi wa FARDC, AFC/M23, MONUSCO na CIRGL.

Na Muungano wa Madaktari Huru (SYLIMED) umefungua mashtaka dhidi ya askari polisi ,hiyo ni baada ya madaktari hao kushambuliwa wakati wa maandamano ya amani mjini Kinshasa. 

Huko Kananga, Katibu Mtendaji wa chama cha ECIDE , Élie Mputu , anaendelea kuzuiliwa na ANR baada ya kukamatwa, hapo Chama chake kikitaka aachiliwe huru bila masharti.

/sites/default/files/2026-07/170726-journal-swahili-_soir_-00.mp3