Journal Swahili Soir, 03 juillet 2026.

Rais wa RDC, Félix Tshisekedi, na mwenzake wa Afrika ya Kusini, Cyril Ramaphosa, wamehimiza mshikamano wa Waafrika na kuheshimu haki za raia wa kigeni. 

Mashua iliyozama katika eneo la Ilebo, jimbo la Kasaï imesababisha vifo vya Watu wengi ni makumi nane tu ndio wame kwisha okolewa, na miili 20 imepatikana, Mengi ni katika taarifa hii. 

Shirika la Afya Duniani (OMS) lime anza majaribio ya dawa mbili mpya za kutibu Ebola mjini Bunia, kwa lengo la kupunguza vifo vinavyotokana na ugonjwa huo.

/sites/default/files/2026-07/030726-p-s-journalswahilisoir-ok.mp3