Vuguvugu la waasi la AFC/M23, hali pashwi chukua tena kama kundi la wenye kujihami silaha pekee, yadokeza ripoti mpya ya Wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu DRC. Katika ripoti yao, hawa wagusia harakati ya kivita na uongozi yanayo wekwa na vuguvugu maeneo inayodhibiti
Wakati matokeo ya mwaka wa shule 2025-2026 ya tangazwa rasmi, iyi alamisi inchini, mjini Kananga, wazazi warejea bila kupewa shaada ama bulletins za wanao. Hali hii inazua malalamiko miongoni mwa hawa, wanao lahumu kuona wana lipa ada kila mwaka bila kupata vyeti hivyo.
Habari njema kwa wazazi wa matadi, jimboni Kasai Central. Sehemu ya barabara ya tarafa la Mission yenye urefu wa mita 900 katika eneo la Nzanza, iliyo kua ime haribika zaidi, yame karabatiwa hivi sasa. Kazi iliyo zinduliwa Jumatano, tarehe 1 Julai, na Gavana wa jimbo, itatekelezwa na Ofisi ya Barabara na Mfumo wa Maji (OVD), kwa mda wa myezi 6.
/sites/default/files/2026-07/03072026-journal-sw-complet-vendredi-matin.mp3






