Journal Swahili Matin, 07 Juillet 2026.

Jimboni Kivu Kaskazini, wanainchi wanakimbia maeneo ya kusini mwa mtaa wa Lubero Kutakana na kujipanga huko kwa wapiganaji wa AFC / M23.

Mjini Mbuji Mayi, bei ya mafuta ya gari ime ongezeka.

Na Huko Kindu Jimboni Maniema, kulianzishwa kazi ya kutambulisha vyama vya ushirika kwa sherehe ya kimataifa ya vyama vya ushirika inayo fanyika kila tarehe ine July.

/sites/default/files/2026-07/07072026_-_jp_sw_-_matin_-_00.mp3