Kwilu: Madaktari wa hospitali za serkali wameanza mgomo.
Kananga: Kulifanyika siku ya pili hii siku kuu ya wahanga wa vita vya Kamuina Nsapu.
Na Kindu: Zaidi ya walimu 1,200 kutoka shule 50 za Maniema, ambao malipo yao yalihamishiwa benki nyingine, bado hawajalipwa mishahara yao.
/sites/default/files/2026-07/08072026_-_jp_sw_-_matin_-_00.mp3





