Butembo jimboni Kivu Kaskazini: Kituo cha kutenga wagonjwa wanaozaniwa kuwa na Ebola katika Hospitali Kuu ya Kitatumba kimeshambuliwa.
Goma: Kulifanyika msako katika karta kando kando ya muji: vijana kadhaa wamekamatwa na kupelekwa kusikojulikana.
Kwango: Shirika la kiraia inaomba serkali kuendelesha kazi za ukarabati wa barabara ya Mawanga–Panzi.
/sites/default/files/2026-07/09072026_-_jp_sw_-_jeaudi_matin_-_00.mp3








