Articles de la catégorie « Swahili »

13/05/2019 - 17:56
Kinshasa:Kwanzishwa kwa kiako cha mara ya kwanza cha maliwali na wamakamo wao waliechaguliwa majimboni Kinshasa:mjibu ya liwali wa jimbo la Lwalaba Richard Mangez Muyez
/
03/05/2019 - 17:24
Kinshasa:siku kuu ya wapashahabri ulimwenguni Kinshasa:Masambo kati ya wafanya kazi wa tele 50 na kiongozi wao haikuendeshwa tena sababu ya kusitofika kwa Jean Marie Kasamba
/
02/05/2019 - 17:32
 Kinshasa: Hotuba ya shirika la usika na afya ulimwenguni kuhusu ugonjwa kwa virusi y'Ebola Kinshasa:mitiani ya serkali atuwa ya elimu ya kwandika katika lugha la kifransa
/
30/04/2019 - 17:31
Beni:Ebola, idadi ya watu kugonjwa imeongezeka katika majimbo za Ituri na Nord Kivu tangazo la waziri wa afya inchini
/
29/04/2019 - 17:35
MbujMay:maandamano ya waganga katika jimbo la KasaiOriental Kikwit:maandamano ya wanganga jimboni Kwilu Kinshasa:maandamano ya wanganga mjini Kinshasa
/
26/04/2019 - 17:35
Kinshasa:Kikako cha AMK mjini Bruxelles inchini ubelgiji Lubumbashi:Matokeo ya msiba wa gari ndani ya ziwa nzilo mjini Kolwezi katika jimbo la Lwalaba
/
25/04/2019 - 18:00
Kinshasa:Siku kuu ya kupiganisha maleria ulimwenguni Kinshasa:Shida kuelekea usafi wa mazingira mjini Kinshasa 
/
24/04/2019 - 17:39
Kinshasa :Nani ndie bi Jeanine Mabunda alieteuliwa mwenye kti cha bunge la taifaa leo? Kinshasa:Miezi mitatu ya uongozi wa raissi mpya Felix  Antoine Tshisekedi Tshilombo
/
23/04/2019 - 17:22
lubumbashi:watu kumi nammoja kwa msiba ya gari pa kilalo Nzilo katika jimbo la Lualaba Bunia:mapambano kati ya jeshi la taifaa na wanamugambo pa Jiro jimboni ituri
/
22/04/2019 - 17:31
Kinshasa:Baraza labunge la taifaa huenda kuchaguwa kiongozi kati ya jeanine Mabunda na Henry Thomas Lokondo,mda wa kampeni huenda kukomeshwa leo usiku
/