Articles de la catégorie « Swahili »

20/06/2019 - 17:24
Kananga:kusudi ya kutoroka gereza ya Kananga wafungwa wawili waliuawa na walinzi wa gereza kuu ya jimbo la Kasai central
/
19/06/2019 - 17:43
Lumbumbashi:watu ya pata kumi wamefariki kwa msiba wa gari jimboni Lualaba katika eneo la Kolwezi 
/
18/06/2019 - 17:20
Kinshasa:wenyezi wa chama cha maendeleo wana kusudia Raissi aandae kikao cha wausika wote wa jamuhuri kwa kutatuwa shida kuletwa na korti ya kikatiba 
/
17/06/2019 - 18:00
Kinshasa:Kufunguliwa kwa vyumba vyapamoja  heunda  kufwatilia marekebisho ya makosa makuu ya korti ya kikatiba
/
14/06/2019 - 17:36
Bunia:watu makumi mawili na saba waliuwawa pale Tche na pale roule mtaani Djugu katika jimbo la Ituri Bunia:waskari polis watatu waliuwawa pale Kunda jimboni Ituri
/
13/06/2019 - 17:36
Bunia:hali ya vuta ni kuvute pa mji kati ya Bunia katika jimbo la Ituri.watu mbili wameuawa Kisangani hali ya mvutano pya mjini Kisangani katika jimbo la Tshopo
/
12/06/2019 - 17:50
Bunia :watu makumi matatu na munane waliuawa kijijini Tché katika mtaa wa Djugu humo jimbo la Ituri
/
11/06/2019 - 17:30
Lumbubashi:maandamano ya wamemba ya chama Udps mjini Lubumbashi katika jimbo la Haut Katanga
/
10/06/2019 - 18:17
Kinshasa:hali ya mvutano kunako baraza la bunge ya taifaa  mashabiki ya UDPS waliandamana mbele ya ofisi ya kituo icho mjini Kinshasa
/
07/06/2019 - 17:25
Kinshasa:Ripoti ya Cogep ajili ya kiwanda cha madini Gecamines Lubumbashi:wafanya kazi makumi mawili na munane wa TFM wamefukuzwa kazini sababu ya mazaifu ya muili
/