Journal swahili de mardi matin, 310326

Habari za asubuhi, siku ya pili 310326

  • Timu ya taifa ya Wa cheza mpira , ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo  Leopards, ita cheza na timu ya Reggae Boys ya Jamaïca , Siku Ya pili hii,  tarehe makumi tatu na moja , ku wania kufuzu , kwa fainali Ya Kombe la Dunia , la Mwaka huu elfu mbili makumi mbili na sita. 
  • Waziri wa Sheria Guillaume Ngefa , ame hakikisha kuwa, kipindupindu kimekuwepo,  katika gereza la Mbanza ngungu , tangu tarehe makumi mbili na Saba ya mwezi Wa tatu.
  • Katika jimbo la Ituri, wanyama wanao tembeya  katika uwanja wa ndege wa Bunia,  wanahatarisha ndege , na Wa safiri.
  • /sites/default/files/2026-03/310326-journalswahili-mardimatin-web.mp3