Journal swahili de mercredi soir, 010426

Habari za mangaribi, siku ya tatu 010326

  • Baada Ya  ushindi wa Leopards , na kufuzu kwa Kombe la Dunia,  baada ya miaka makumi tano na mbili , manaibu wa kitaifa  Kutoka pande zote ,  wanaamini kuwa,  mafanikio haya,  yanajumuisha umoja wa kitaifa , zidi ya tofauti za kisiasa.
  • Katika jimbo la Kivu Kaskazini, Utulivu kidogo , ume rudi Siku Ya tatu hiii ,  katika vijiji kadhaa , vya Eneo la masisi ,  Baada Ya  siku mbili , za mapigano kati ya waasi wa AFC-M23 na wapiganaji wa Wazalendo Siku Ya mungu ,  na Siku Ya kwanza  iliyopita .
  • Katika mji wa Bunia, jimboni  Ituri, Kiongozi wa ujumbe Wa  CICR,  alitangaza katika mkutano,  na waandishi wa habari , Siku Ya pili iliopita ,  kwamba , CICR , inajiondoa ,  kutoka kituo cha afya cha Rubingo, kilicho katika utawala Wa  Bahema Boga, eneo la Irumu.
  • /sites/default/files/2026-04/010426-p-s-journalswahili-mercredisoir-web.mp3

 

Dans la même catégorie

06/04/2026 - 16:26
/
06/04/2026 - 16:25
/
06/04/2026 - 16:25
/