Habari za mangaribi, siku ya pili 310326
- Saa chache kabla ya mchujo wa ku wania kufuzu kwa Kombe la Dunia, la Mwaka elfu mbili makumi mbili na tano, uliopangwa Siku Ya pili hii , tarehe makumi tatu na moja , mwezi Wa tatu , Rais Wa jamhuri , Félix Antoine Tshisekedi, ame tuma ujumbe , wa kuwatia moyo, Leopards ya KONGO , jioni ya Siku Ya kwanza iliopita.
- Jimboni Kivu kaskazini , mapigano makali yana endelea tangu siku mbili, kati ya waasi wa AFC/M23 na makundi yenye silaha ya "Wazalendo" katika maeneo kadhaa ya kusini, mwa eneo la Lubero.
- Baada ya kusikilizwa kwa mara ya pili, kwa mganga kiongozi wa Hospitali ya Kinkole, madaktari kadhaa, na mashahidi wawili, Mahakama Kuu ya Kinshasa/Kinkole, ime amuwa kuahirisha kesi hiyo , hadi Siku Ya tatu , tarehe moja Ya mwezi Wa ine.
- /sites/default/files/2026-03/310326-p-s-journalswahili-mardisoir-web.mp3






