Journal des mercredi matin, 010426

Habari za asubuhi, siku ya tatu, 010426

  • Jimboni Kivu kaskazini, mapigano makali yamekuwa yakiendelea, tangu  siku mbili,  kati ya waasi wa AFC/M23, na makundi yenye silaha ya "Wazalendo" katika maeneo kadhaa ya kusini,  mwa eneo la Lubero.
  • Jimboni Kivu kusini, Ushindi wa Vikosi vya Wanajeshi , vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo FARDC , Zhidi ya kundi la waasi , linaloongozwa na anayejiita Jemadari  Amisi Sisawa, ama  Muswahili, una Wa semesha Watu ,  katika eneo la Shabunda.
  • Mjini Kinshasa, Baada ya kusikilizwa kwa mara ya pili, kwa  mganga kiongozi wa Hospital ya Kinkole, madaktari kadhaa, na mashahidi wawili,Mahakama Kuu ya Kinshasa/Kinkole,  ime amuwa  kuahirisha kesi hiyo , hadi Siku Ya tatu , tarehe moja , Ya mwezi Wa ine.
  • /sites/default/files/2026-03/010426-p-s-journalswahili-mercredimatin-web.mp3