Journal swahili de lundi soir, 200326

Habari za mangaribi, siku ya kwanza 300326

  • Waziri wa Sheria Guillaume Ngefa , ame hakikisha kuwa, kipindupindu kimekuwepo,  katika gereza Mbanza ngungu, tangu tarehe makumi mbili na Saba ya mwezi Wa tatu.
  • Katika jimbo la Ituri, wanyama wanao tembeya  katika uwanja wa ndege wa Bunia,  wanahatarisha ndege , na Wa safiri. 
  • Katika jimbo la Maniema, Mamlaka ya Mto (RVF), sekta ya kwanza ya Lualaba–Ubundu–Kindu, ina tangaza kwamba, viwango vya maji katika Mto Kongo , vime panda.
  • /sites/default/files/2026-03/300326-journalswahili-lundisoir-web.mp3