Katika jimbo la Ituri, wagonjwa wa Ebola wanaanguka na kufariki barabarani katika mji wa Bunia.
Katika wilaya ya Masisi, watu kumi wakiwemo wafanyakazi wa kibinadamu hawajulikani walipo baada ya kutoweka.
Katika mji wa Mbuji-Mayi, watoto wanahusishwa na shughuli za mazishi, hali inayozua wasiwasi na masikitiko makubwa.
/sites/default/files/2026-06/160626-p-s-journal_swahili_matin-00.mp3






