Articles de la catégorie « Swahili »

02/01/2020 - 17:29
Bukavu:msemaji wa shirikisho la watetezi wa walimu wa shule za kidini  anatangaza kusito rudilia masomo katika mashule za  usika mnamo tarhe sita januari katika jimbo la Sud KivuAlikwa la musa
/
30/12/2019 - 17:29
Beni:Watu kumi na mnane walikufa kwa shambulizi la ADF pa Apetina katika jimbo la Nord Kivu Uvira:Kumbukumbu ya mauwaji wa Makobola mtaani fizi katika jimbo al Sud Kivu
/
27/12/2019 - 17:44
Kinshasa:Mkutano wa serikali huko Zongo katika jimbo la Kongo Central Kinshasa:Kufunguliwa kwa kikao  cha serikali pa Zongo katika jimbo la Kongo Central
/
26/12/2019 - 17:23
Kinshasa:hali imerudi tulivu mtaani Lingwala kiisha hofu kuletwa na afisa polisi aliechanganyikiwa kiakili
/
24/12/2019 - 17:20
Beni:jeshi la taifaa linatangaza atuwa kadhaa ajili ya usalama ya maeneo alizoziokowa humo jimbo la Nord Kivu
/
23/12/2019 - 17:42
Kinshasa:Raissi wa jamhuri FelixAntoine Tshisekedi Tshilombo ametoka kuzinduwa rasmi kiwanda mpya cha maji safi cha Regideso mjini Kinshasa
/
13/12/2019 - 17:43
Kinshasa:Hotuba ya raissi wa jamhuri kwenye mkutano leo siku ya tano tarhe kumi na tatu Disemba mwaka wa elfu mbili na kumi na kenda
/
12/12/2019 - 17:38
Kinshasa:Hotuba ya kwanza ya raissiFelix Antoine Tshisekedi  mbele ya mkutano ya bunge ya taifaa na wazee wa bunge
/
11/12/2019 - 17:35
 
/
10/12/2019 - 17:45
Goma:maandamano maarufu yanaendelea vibaya asubui ya leo mjini Goma katika jimbo la Nord Kivu
/