Journal Soir du 24 Juillet 2026
Mjini mkuu Kinshasa, taarifa ya office ya umoja wa kimataifa ya haki za binadamu BCNUDH, ina laumu mwenendo wa ukiukaji wa haki za binadamu.
Huko Bunia, upungufu wa vifo vinavyo tokana na ugongwa wa Ebola una onekana pa Mungwalu, vyajulisha vyanzo vya afya.
Waendesha pikipiki wengi wa Matadi, huko Congo Central, sasa wanakataa kulipa kodi ya makubaliano ya ukarabati na matengenezo ya Barabara.
/sites/default/files/2026-07/24072026-p-s-journalswahilisoir_-_00.mp3







