Journal Swahili Matin, 27 Juillet 2026.

Mjini Bunia, serkali inawaomba wafadhili kuweza kujenga vituo ambavyo vinaweza endelea kutumiwa hata baada ya kuweza kumalizika kwa mlipuko huu wa Ebola.

Wakati huo, ni serkali ya Uganda ndio imetoa msaada wake katika eneo la kijiji cha Aru, jimboni Ituri kwa ajili ya kuweza kukabiliana na ugonjwa huu wa Ebola.

Na Mjini Lubumbashi, ni mkutano wa kwanza wa kitaifa unao husu mafuta ya gari ndio uleweza kufanyika katika lengo la kuweza kuzungumzia hasa kuhusu uchumi na maendeleo katika sekta hii nchini DRC.

/sites/default/files/2026-07/27072026_-_journal_swahili_-_matin_-_00.mp3