Articles de la catégorie « Swahili »

02/03/2020 - 17:37
Kinshasa:Muisho wa ujumbe wa wabunge wa Cenco leo m,jini Kinshasa Kinshasa:Ziara ya raisi wa Jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo mjini Washingtown nchini Merika
/
28/02/2020 - 17:41
Beni:jenerali Delphin Kahimbi amefariki mjini Kinshasa leo siku ya tano,kiongozi wa zamani wa kazi za akili za jeshi
/
27/02/2020 - 17:28
Kinshasa:Maoni ya wabunge wa taifaa wateuliwa wa  huko mashariki mwa nchi kuhusu mauawaji kuendeshwa katika majimbo la Nord Kivu na Ituri
/
26/02/2020 - 17:36
Kinshasa:hali ya mvutano yenye kudumu huko kambi Bumba mtaani Lemba katika mji jimbo ya Kinshasa
/
25/02/2020 - 17:30
Lubumbashi:Siku ya pili leo tangu kuliandaliwa Mkutano ajili ya kuboresha hali ya byashara majimbonimjini Lubumbashi
/
24/02/2020 - 17:30
Kinshasa:Masomo haikurulia pale chuo kikuu cha Kinshasa leo tarhe makumi mawili na nnee februari
/
21/02/2020 - 17:28
Kinshasa :Mkutano wa pembe nne Angola ,Rwanda ,Kongo ya kidemocrasia na Uganda leo nchini Rwanda
/
20/02/2020 - 17:33
Kinshasa:Uzinduzi wa miundumbinu mpya ya INRB Bukavu:Paa za shule kumi na moja zilirushwa  na mvua   humo jimbo la Sud Kivu
/
19/02/2020 - 17:46
Kinshasa:Mahakimu wapya wameaapa kiapo leo siku ya tatu mjini Kinshasa mbele ya raisi wa Jamuhuri MbujiMay:Kutiwa nguvuni kwa meya wa Mbuji May humo jimbo la Lomami
/
18/02/2020 - 17:35
Beni:Matokeo kwa mda ya shambulio la wa ADF ni watu 15 waliuawa jana usiku humo jimbo la Nord Kivu Bunia:mwisho wa mahojiano ya kijamii humo jimbo la Ituri
/