Journal Swahili Vendredi Soir, 07 aout 2026

Beni, wafungwa wa vita 15 wa kundi la waasi wa M23 waachiliwa huru na serkali ya Kinshasa na kurejeshwa makwao na shirika lakimataifa lamsalaba mwekundi CICR…

Kinshasa, kwa mujibu wa Umoja Wamataifa, ugonjwa wa Ebola waenea hivi sasa makambini inchini DRC.   

Mjini Kinshasa, uongozi na uwezeshaji wa mwanamke ulikua kihini cha mkutano, iyi alamisi, kati ya Serkali na mashirika za wanawake…

/sites/default/files/2026-08/0708026-p-swa-journalswahili-00_0.mp3