Damien Mama, Naibu Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, aliwasili mjini Goma.
Articles de la catégorie « swahili »
17/09/2026 - 05:54
Mtaani Beni, mvua kubwa yenye upepo mkali imesababisha uharibifu mkubwa wa mali pa Kyavinyonge, eneo linalo patikana kando ya ziwa Edouard.
16/09/2026 - 16:40
Mtaani Beni, mvua kubwa yenye upepo mkali imesababisha uharibifu mkubwa wa mali pa Kyavinyonge eneo linalo patikana kando ya ziwa Edouard.
16/09/2026 - 05:54
Mjini Kinshasa, wanabunge wameanza siku ya pili Kikao cha septemba. Agenda kuu ya kikao hicho inahusu kuchambua bageti ya mwaka 2027 piazingine swala muhimu za sasa.
15/09/2026 - 16:29
Mjini Kinshasa, wanabunge wameanza siku ya pili Kikao cha septemba. Agenda kuu ya kikao hicho inahusu kuchambua bageti ya mwaka 2027 piazingine swala muhimu za sasa.
15/09/2026 - 10:25
Wanabunge wa taifa na maseneta warudi kwenye palais du peuple hii siku ya pili kwa kikao cha kawaida cha Septemba.
14/09/2026 - 20:00
Wanabunge wa taifa na maseneta warudi kwenye palais du peuple hii siku ya pili kwa kikao cha kawaida cha Septemba.
14/09/2026 - 05:49
Uongozi mkuu wa jeshi la Congo FARDC una laumu video zinazo sambazwa kwenye mitandao ya kijamii zinazo wasifu majenerali fulani huku zikiwadharau wengine.
11/09/2026 - 18:20
Katika mji wa Bukavu, mkoani Kivu-Kusini, zaidi ya watu elfu mbili walioathiriwa na moto wamelazimika kulala nje huko Funu B na Kasheke.
11/09/2026 - 05:10
Katika jimbo la Kivu Kusini, wanafunzi zaidi ya 20 wamefariki dunia katika moto ulioteketeza shule mbili.