Bunia : Viongozi wa jamii wanatoa wito kuhusu kurejea kwa vita katika mtaa ya Djugu.
Kindu : Leo ni siku bila taxi ya pikiki mujini Kindu kutokana na usumbufu unaofanywa na polisi.
Mbuji-Mayi : Hali ya kambi ya Nkuadi mahali kulifanyika juma iliyopita uzinduzi wa kampeni ya kilimo.
/sites/default/files/2026-10/journal_swahili_du_lundi_soir_05_octobre_2026_2.mp3






