Journal Swahili Vendredi Soir, 21 Août 2026

Mpango wa mto kongo bila Ebola wazinduliwa mjini Kinshasa..

Kivu kaskazini,hali yakibinadamu yazorote eneo la ufamandu mtaani Masisi, kutokana na mapambano yanayo bainisha AFC-M23 na vikundi vya wazalendo

Pa Mbuji-Mayi, Polisi ya Kingo barabarani (PCR) ya amasishwa kuhusu afya ya kingono, uzazi bora na kinga zidi ya UKIMWI.

/sites/default/files/2026-08/21082026-journal_swahili_vendredi_soir-00.mp3