Jimboni Ituri ; wakati yasherehekewa, ogusti 19, Sikukuu Kimataifa ya Msaada wa Kihutu, maelfu ya wahami bado waishi katika hali ngumu
Mkoani Maniema ; maandalizi ya mwaka wa shule 2026-2027 yazembea masokoni jijini Kindu.
Mbuji-Mayi, magari zenye kusukumwa, aina Riksho, zinazozunguka usiku zatishia usalama wa raia.
/sites/default/files/2026-08/21082026-journal_swahili_vendredi_matin-00.mp3





