Journal Swahili de Jeudi Matin, 20 Aaoût 2026

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Tanzania zaimarisha ushirikiano katika sekta za uchumi na afya.

Serikali ya Jamhuri yapanga kuanzisha mafunzo ya kutumia zana za mtandaoni katika maeneo 18 ya afya yenye hatari kubwa ya Ebola kuanzia mwaka wa masomo 2026–2027.

Eneo la Kwilu; Shirika la kiraia lakemea kukatwa kwa mishahara ya walimu na watumishi wa sekta ya uma.

/sites/default/files/2026-08/20082026-journal_swahili_jeudi_matin-00.mp3