Jimboni Ituri ; wakati yasherehekewa, ogusti 19, Sikukuu Kimataifa ya Msaada wa Kihutu maelfu ya wahami bado waishi katika hali ngumu
Mkoani Maniema ; maandalizi ya mwaka wa shule 2026-2027 yazembea masokoni jijini Kindu.
Mbuji-Mayi, magari zenye kusukumwa, aina Riksho zinazozunguka usiku zatishia usalama wa raia.
/sites/default/files/2026-08/20082026-journal_swahili_jeudi_soir-00.mp3





