Journal Swahili: Matin

Ulimwengu ulisheherekeya tarehe 21 septembe hihi siku kuu ya kimataifa ya Amani. Kwa hiyo, katibu  mkuu wa Umoja wa Mataifa aliomba kwa watu wote kuwekeza katika amani mahali pote na kila siku.

Zaidi ya kilomita 50 tu ya barabara ya Kananga-Kalamba Mbuji tayari imefikia hatua ya chini, ambayo kilomita 43 tayari imejengwa kwa lami.  Ni angalizo lake Waziri wa Nchi anayeshughulikia Miundombinu na Kazi za Umma, ilikuwa wakati wa ziara yake ya kazi ali yofanya Jumapili hii, Septemba tarehe 20 katika sehemu hio ya Kasai ya Kati.

Mjini mkuu wa Kinshasa, majengo yaongezeka kwa mahali isiyo bora. Hii inakuwa madhara makubwa kwa mazingira na afya ya wakaaji.

/sites/default/files/2026-09/220926-b-s-journal_swahili_mardi_matin.mp3