Siasa gani serkali anayo kwa kuweza kubadirisha hali mbaya ya mfanya kazi mkongomani?

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Wajumbe wa upinzani , wale wa kundi la uwingi la wanabunge la taifa wakiwa madarakani na pia wale wa shirika la rahiya wanasimulia juu ya hali mbaya ambamo mfanya kazi, mkongomani, anatumika.Wananungukia hali ya mwenyi kazi na wanatoa maoni kuhusu mabadiriko.
Waalikwa ni :rn – Guy -Marin Baguma wa chama cha siasa UDPSrn -Masuga Rugamika wa chama cha siasa PPRDrn -Saintre Mutombo wa shirika Fosyco na msimamizi wa shirika la rahiya.