Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.
Mwaakili wa pande lenye ku ongoza inchi wakati huu pamo na wule wa pande la upimzani na wa shirika la raiya wata tatuwa slwali hilo katika kipindi hiki.
Waalikwa ni mabwana :
-Luirda Belo, mshahuri kunako wizara ya masomo makuu na university. Na yeye ni mwenye ku simamiya pande lenye ku ongoza wakati huu.
-Guy Marin Baguma, katibu mkuu wa chama cha UDPS, yeye ana simamiya pande la upinzani.
-Faustin Kalonji, muteteza wa haki za binaadam na mwanamemba wa shirika la LIZADEEL, naye ana simamiya pande la shirika la raiya.