Kukomshwa kwa malipo ya walimu na wazazi- pesa gani ndizo zilikatazwa

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa :rn-Jacques BANYWESHIRE mshahuri kunako uwaziri wa masomo ya kiprimary na segondari ;rn-Patient MUHEMERI mwanamemba wa shirika la kutetea walimu wa Kongo, kwa kifupi (SYECO) ;rn-MWAMBA LUBEMBA mwanamemba wa muungano wa taifa ya wazazi na wanafunzi wa Kongo, kwa kifupi (ANAPECO).