Namna gani ya kukomesha rushwa katika jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo? Sababu gani inafaa kuchungua upya makubaliano ya kuchimba madini ? Sheria inachukua mipango gani kwa kumuondosha mpangaji nyumbani kwa nguvu ?

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Wajumbe wa upinzani, wale wa kundi lenyi kuwa madarakani na wale pia wa shirika la rahiya wanafikiri juu ya maoni yale.
Waalikwa :

- Donatien KANYIZIA, mwanabunge la taifa na ni mwanamemba wa chama cha siasa MLC,msimamizi wa upinzani ;rn- Jean MBUYU, mwanabunge la taifa na ni mwanamemba wa chama cha siasa PPRD, msimamizi wa kundi lenyi kuwa madarakani.,rn- Télesphore NDUBA, mwahamzi kunako korti kuu ya Kalamu- Kinshasa, msimamizi wa shirika la kutetea waendesha mastaki yaani wa magistrats.