Kuundwa kwa mipango ya kazi elfu mia sita makumi matano:Ni katika sekta gani ?Pamoja na mipango gani ? Kazi za muhimu ni gani?

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Wajumbe wa upinzani , wa kundi lenyi kuwa madarakani na wa shirika la rahiya wanabadirishana maoni kuhusu jambo lile.
rnWaalikwa :

- Alain MBAYA, Mwanabunge la taifa, na ni mwanamemba wa chama cha siasa l’ADECO,msimamizi wa upinzani ;rn- Raphaël MONGOMBA, katibu mkuu wa uwaziri wa kazi na mipango ya jamii, msimamizi wa kundi lenyi kuwa madarakani;rn- TSHISWAKA MUKENDI, mwanamemba wa shirika la rahiya.