Homa ya Ebola- mipango gani yenyi kuchukuliwa na serkali kwa kuepuka ugonjwa ule usitawanyike mahali mengi?

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa :rn-Salomon TAMBI mwanamemba wa chama cha siasa “Front Patriotique” na ni msimamizi wa upinzani ;rn-Christian NGANDU mshauri kunako uwaziri jimboni Kasai Occidental unaousika na afya na ni msimamizi wa kundi la uwingi lenyi kuwa na madaraka ;rn-Alexis MUKANYA mwanamemba wa shirika la rahiya jimboni Kasai Occidental.