Usaidizi wa viungo vya mwili : Jambo lile linafanyika katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ?

Fichier audio : téléchargez Flash pour écouter.

Waalikwa :rn-Willy KAVULU mwanamemba wa chama cha siasa FONUS na ni msimamizi wa upinzani;rn-Bernard GUYENI mwanamemba wa AMP na ni msimamizi wa kundi lenyi kuwa madarakani ;rn-Dr KAZUMBA BYANGANDU presidenti wa kundi lenyi madaraka ya kuchungua kazi ya waganga na kuwatetea, na ni msimamizi wa shirika la rahiya.